January 23, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

TEF: Tutakukumbuka daima Edward Lowassa

Na Mwandishi Wetu, timesmajira Online

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limesikitishwa na kifo cha Edward Ngoyai Lowassa, Waziri Mkuu wa zamani aliyefariki dunia Februari 10, mwaka huu jijini Dar es Salaam, katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), alikokuwa anapatiwa matibabu.