Na Mwandishi wetu,Timesmajira
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),Lazaro Twange, leo Januari 21, 2026 amewasilisha Taarifa ya Taasisi mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini jijini Dodoma.
Kamati hiyo ilipata fursa ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya Nishati na utekelezaji wa Majukumu ya TANESCO




More Stories
Dkt.Tulia,Mwalunenge waungana kutatua changamoto ya barabara
TUCASA yaomba kuanzishwa sheria malipo sekta ya ujenzi
Kihongosi:Uhai wa chama mashina