Na Prona Mumwi, TimesMajira Online, Dar es Salaam
Meneja masoko na mawasiliano wa Lake Energies, Matina Mkulu, akimuonesha Mbunge wa Muleba Charles Mwijage na Prof.Anna Tibaijuka akimuonesha bidhaa mbalimbali katika banda lao baada ya kutembelea banda hilo wakati wa Tamasha la Buhaya Festival lililofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Picha na Prona Mumwi


Meneja Masoko na mawasiliano wa Lake Energies, Matina Nkulu, kulia akifafanua jambo mbele ya wateja waliotembelea banda hilo wakati wa Tamasha la Buhaya Festival lililofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Picha na Prona Mumwi



More Stories
Elimu ya Nishati Safi ya kupikia katika ngazi ya awali yatolewa
Serikali yaagiza usalama migodini Lindi
Awamu ya kwanza ya uvutaji wa nyaya katika Mradi wa Chalinze -Dodoma wakamilika