January 23, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Taarifa ya Tanzia kutoka ACT Wazalendo

TAARIFA YA TANZIA Chama cha ACT Wazalendo, kwa huzuni na masikitiko makubwa, kinatangaza taarifa ya kifo cha Jaji Mstaafu Mussa Kwikima kilichotokea leo tarehe 27 Aprili 2020 katika Hospitali ya Kairuki Jijini Dar es salaam