December 24, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Simba yamtambulisha rasmi kocha mpya

Klabu ya Simba SC, leo imemtangaza rasmi kocha wake mpya, Roberto Oliveira kama kocha mkuu mpya wa klabu hiyo.

Oliveira, mwenye umri wa miaka 69, raia wa Brazil, amejiunga na klabu hiyo baada ya kuachana na waajiri wake wa zamani Vipers SC ya Uganda.