
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Majira, Imma Mbuguni katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani leo yanayofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kilichopo Tunguu, Wilaya ya Kusinii Unguja. (Na Mpigapicha Wetu)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Abeda Rashid Abdallah (aliyeketi) akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Majira katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani leo yanayofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kilichopo Tunguu, Wilaya ya Kusinii Unguja. (Na Mpigapicha Wetu)

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma, akijadiliana jambo na Mkuu wa Wilaya Kusini Unguja, Rajab Mkasaba(koshoto) wakati wa  Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani leo yanayofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kilichopo Tunguu, Wilaya ya Kusinii Unguja. (Na Mpigapicha Wetu)

Maafisa Uhusiano wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Maulid Yussuph(kushoto) na Salma Lusangi wakijadiliana jambo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani leo yanayofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kilichopo Tunguu, Wilaya ya Kusinii Unguja. (Na Mpigapicha Wetu)

Baadhi ya wazee wakisikiliza kinachoendelea katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani leo




More Stories
Visima 67,000 vya umwagiliaji kuchimbwa nchiniÂ
DC Songea ahimiza matumizi na uwekezaji kwenye nishati safi
PPPC yawanoa wabunge umuhimu wa utaratibu wa PPP kwenye miradi