December 23, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanmia Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha Rais Msataafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa alipofika nyumbani kwa Marehemu Masaki Jijini Dar er salaam leo Julai 25, 2020 kwa ajili ya kuifariji Familia ya Marehemu.

Samia asaini kitabu cha maombolezo ya Mzee Mkapa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanmia Samia Suluhu Hassan, akimfariji Mjane wa Rais Msataafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa Mama Anna Mkapa alipofika nyumbani kwa Marehemu Masaki Jijini Dar er salaam leo Julai 25, 2020.  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)