Na Mwandishi wetu,Timesmajira Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Israel Johaness Salufu amechukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Jimbo la Kilolo mkoani Iringa. Salufu amechukua fomu hiyo leo tarehe 28 Juni 2025 katika Ofisi za CCM wilaya ya Kilolo. Post Views: 394 Continue Reading Previous Aliyeongoza kura maoni Vunjo 2020, kumkabili tena Dkt. KimeiNext Dkt.Angeline, Manguzo wachukua fomu za kuwania Ubunge Ilemela More Stories Habari Mikoani Elimu ya Udhibiti yawafikia wenye ulemavu Tabora October 6, 2026 joyce kasiki Habari Zungu achaguliwa kuwa Rais wa Mkutano wa 153 wa IPU October 6, 2026 Penina Malundo Habari Dkt.Homera azindua mkataba mpya wa huduma TANESCO October 6, 2026 Penina Malundo
More Stories
Elimu ya Udhibiti yawafikia wenye ulemavu Tabora
Zungu achaguliwa kuwa Rais wa Mkutano wa 153 wa IPU
Dkt.Homera azindua mkataba mpya wa huduma TANESCO