Na Mwandishi wetu,Timesmajira
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti Chipukizi (CCM) wilaya ya Morogoro Mjini na Mjumbe wa Baraza Kuu (Uvccm) Taifa – Kuiwakilisha Chipukizi,Salmini Nchimbi amechukua fomu leo ya kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Mwembesongo,wilaya ya Morogoro Mjini Mkoa wa Morogoro.
Salmini ni miongoni mwa vijana wachache walioamua kugombea nafasi hiyo katika Kata ya Mwembesongo.



More Stories
UWT yahimizwa kusimamia malezi bora
Uwekezaji wa Michezo wavutia Watalii Tanzania
Mkurugenzi Bonde Rufiji, ahimiza utunzaji vyanzo vya maji