January 22, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais wa Zanzibar akutana na mdau wa Utalii Duniani

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na mfanyabiashara na mdau wa utalii Duniani Nicholas Reynolds akiwa na ujumbe aliofuatana nao wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu]