January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia awasili Jijini Dodoma

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Dodoma alipokua akitokea Zanzibar alikohudhuria Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba leo tarehe 12 Januari 2022.

PICHA NA IKULU