December 23, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia atunuku Kamisheni maafisa JWTZ Dodoma(PICHA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan atunuku Kamisheni kwa maafisa wanafunzi wa Jeshi La Wananchi Wa Tanzania (JWTZ) katika Viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma