Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Czech Nchini Mhe. Martin Klepetro, mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Martin Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 26,2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Belarus Nchini Mhe. Pavel Vziatkin Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Czech Nchini Mhe. Martin Klepetro, leo Agosti 26,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Colombia Nchini Mhe. Monica Greiff Lindo mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Monica Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26,2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Australia Nchini Mhe. Luke Joseph Williams mara Baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Williams Ikulu Jijini Dar es salaam, leo Agosti 26,2021. Post Views: 671 Continue Reading Previous RC Makalla kuanza rasmi ziara ya utatuzi wa migogoro jimbo kwa jimboNext Ulega abainisha mikakati ya kuboresha mnada wa Pugu More Stories Habari TAG yampongeza Rais Samia December 26, 2024 Judith Ferdnand Habari CCM Tabora yamfariji mjane wa kada anayedaiwa kujiua December 26, 2024 Judith Ferdnand Habari FDH yaanza kutekeleza mradi wa kuwajengea uwezo wanawake wenye ulemavu December 25, 2024 Penina Malundo
More Stories
TAG yampongeza Rais Samia
CCM Tabora yamfariji mjane wa kada anayedaiwa kujiua
FDH yaanza kutekeleza mradi wa kuwajengea uwezo wanawake wenye ulemavu