January 22, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Mwinyi aelekea Msumbiji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na viongozi wa Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume jijini Zanzibar, akielekea Nchini Msumbiji kuhudhuria Mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho jijini Maputo Msumbiji. (Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi  akiwa na Mkewe, Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Hemed Suleiman Abdulla, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea nchini Msumbuji kuhudhuria Mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho Jijini Maputo Msumbiji.(Picha na Ikulu).