December 26, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Dkt. Samia ndani ya Simba Day

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya kuanza kwa mchezo baina ya Simba na Power Dynamos ya Zambia uliofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya mechi na timu ya Power Dynamos ya Zambia iliyofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wachezaji wa timu ya Power Dynamos ya Zambia kabla ya mchezo na Simba uliofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Jezi ya Timu ya Simba kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Try Again wakati wa Sherehe za Simba Day 2023 zilizofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Jezi ya Simba mara baada ya kukabidhiwa kwenye Tamasha la Simba Day 2023 lililofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Shukran kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Try Again wakati wa Sherehe za Simba Day 2023 zilizofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.