January 2, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais ateua Wakurugenzi Watendaji wa Halamashauri nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 01 Agosti, 2021 amefanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji  wa Halmashauri za Jiji, Manispaa,Miji na Wilaya kama ifuatavyo:

  1. MKOA WA ARUSHA
 Dkt. John Kurwa Marco PimaJiji la Arusha
 Zainab Juma MakwinyaWilaya ya Meru
 Seleman Hamis MsumiWilaya ya Arusha
 Juma Mohamed MhinaWilaya ya Ngorongoro
 Stephen AndersonWilaya ya Longido
 Raphael John SiumbuWilaya ya Monduli
 Karia Rajabu Wilaya ya Karatu

2.         MKOA WA DAR ES SALAAM

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Elasto Nehemia KiwaleManispaa ya Kigamboni
 Beatrice Rest Dominuo KwaiManispaa ya Ubungo
 Jumanne Kiango ShauriJiji la Ilala
 Hanifa Suleiman HamzaManispaa ya Kinondoni
 Elihuruma MabelyaManispaa ya Temeke

3.         MKOA WA DODOMA

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Yusuph Mustafa SemwaikoWilaya ya Kondoa
 Paul Mamba SweyaMji wa Kondoa
 Siwema Hamoud JumaWilaya ya Chemba
 Athumani Hamisi MasasiWilaya ya Bahi
 Dkt. Semistatusa Hussein MashimbaWilaya ya Chamwino
 Dkt. Omary Athumani NkuloWilaya ya Kongwa
 Mwanahamisi Haidari AllyWilaya ya Mpwapwa
 Joseph Constantine MafuruJiji la Dodoma

4.        

MKOA WA GEITA:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Lutengano George MwalibaWilaya ya Bukombe
 Saada Seleman MwarukaWilaya ya Mbogwe
 Mandia H. M. KihiyoWilaya ya Chato
 Husna Toni ChamboWilaya ya Nyang’hwale
 John Paul WangaWilaya ya Geita
 Zainab Muhidini MichuziWilaya ya Mji Wa Geita

5.         MKOA WA IRINGA:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Bernard Maurice LimbeManispaa ya Iringa
 Bashir Paul MhojaWilaya ya Iringa
 Happiness Raphael LaizerMji wa Mafinga
 Lain Ephrahim KamenduWilaya ya Kilolo Tangu
 Zaina Mfaume MlawaWilaya ya Mufindi

6.         MKOA WA KAGERA:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Innocent Mbandwa MukandalaWilaya ya Biharamulo
 Hamid Hamed NjovuManispaa ya Bukoba
 Fatina Hussein LaayWilaya ya Bukoba
 Elias Mahwago KayandabilaWilaya ya Muleba
 Waziri Khachi KomboWilaya ya Missenyi
 Solomon Obeid KimilikeWilaya ya Ngara
 Michael Francis NzyunguWilaya ya Karagwe
 Sacf. James Marco JohnWilaya ya Kyerwa

7.         MKOA WA KATAVI:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Sophia Juma KambuliManispaa ya Mpanda
 Mohamed Ramadhani NtanduWilaya ya Msimbo
 Catherine Michael MashallaWilaya ya Mpimbwe
 Teresia Aloyce IrafayWilaya ya Mlele
 Shaban Juma JumaWilaya ya Tanganyika

8.         MKOA WA KIGOMA:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Joseph Kashushura RwizaWilaya ya Kasulu
  Dollar Rajab KusengeMji wa Kasulu
 Ndaki Stephano MhuliWilaya ya Kakonko
 Rose Robert ManumbaWilaya ya Kigoma
 Deocles Rutema MurushwagireWilaya ya Kibondo
 Zainab Suleiman MbundaWilaya ya Uvinza
 Essau Hosiana NgolokaWilaya ya Buhigwe
 Athmani Francis MsabilaWilaya ya Kigoma Ujiji

9.         MKOA WA KILIMANJARO:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Kastori George MsigalaWilaya ya Moshi
 Godwin Justin ChachaWilaya ya Rombo
 Annastazia Tutuba BuhamvyaWilaya ya Same
 Upendo Erick MangaliWilaya ya Siha
 Dionis Maternsus MyingaWilaya ya Hai
 Mwajuma Abbas NasombeWilaya ya Mwanga
 Dr. Rashid Karim GembeManispaa ya Moshi

10.       MKOA WA LINDI:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 George MbilinyiWilaya ya Mtama
 Juma Ally MnweleManispaa ya Lindi
 Eston Paul NgilangwaWilaya ya Kilwa
 Tina Emelye SekamboWilaya ya Liwale
 Eng. Chionda Ally MfaumeWilaya ya Nachingwea
 Frank Fabian ChonyaWilaya ya Ruangwa  

11.       MKOA WA MANYARA:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Samweli Warioba GunzaWilaya ya Simanjiro
 John John NchimbiWilaya ya Kiteto
 Anna Philip MbogoWilaya ya Babat
 Yered Edson MyenziMji wa Mbulu
 Jenifa Christian OmoloWilaya ya Hanang’
 Dr. Zuweina KondoMji wa Babati
 Abubakar Abdullah KuuliWilaya ya Mbulu

12.       MKOA WA MARA:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Emmanuel John MkonongoMji wa Bunda
 Francis Emmanuel NamaumboWilaya ya Rorya
 Palela Msongela NituWilaya ya Musoma
 Gimbana Emmanuel NtavyoMji wa Tarime
 Bosco Addo NdunguruManispaa ya Musoma
 Patricia Robbi JohnWilaya ya Butiama
 Solomon Isack ShatiWilaya ya Tarime
 Changwa Mohammed MkwazuWilaya ya Bunda
 Kivuma Hamis MsangiWilaya ya Serengeti

13.       MKOA WA MBEYA:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Stephe Edward KatembaWilaya ya Mbeya
 Amede Elias Andrea NgwadidakoJiji la Mbeya
 Ezekiel Henrick MagehemaWilaya ya Kyela
 Missana Kalela KwanguraWilaya ya Mbarali
 Tamim Hamad KambonaWilaya ya Chunya
 Loema Peter IsaayaWilaya ya Busokelo
 Renatus Blas MchauWilaya ya Rungwe

14.       MKOA WA MOROGORO:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Saida Adamjee MahunguWilaya ya Ulanga
 Eng. Stephen Mbulili KaliwaWilaya ya Mlimba
 Lena Martin NkayaMji wa Ifakara
 Hassan Njama HassanWilaya ya Mvomero
 Kisena Magina MabubaWilaya ya Kilosa
 Rehema Said BwasiWilaya ya Morogoro
 Asajile Lucas MwambambaleWilaya ya Gairo
 Joanfaith John KataraiaWilaya ya Malinyi
 Ally Hamu MachelaManispaa ya Morogoro

15.       MKOA WA MTWARA:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Col. Emanuel Harry MwaigobekoManispaa ya Mtwara
 Thomas Edwin MwailafuMji wa Nanyamba
 Erica Evarist YegellaWilaya ya Mtwara
 Duncan Golden ThebasWilaya ya Newala
 Apoo Castro TindwaWilaya ya Masasi
 Elias Runeye MtiruhungwaMji wa Masasi
 Shamim Daud MwarikoMji wa Newala
 Ibrahim John MwanautaWilaya ya Nanyamba
 Mussa Lawrance GamaWilaya ya Tandahimba

16.       MKOA WA MWANZA:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
  Modest Joseph ApolinaryManispaa ya Ilemela
 Lutengano George MwalibaWilaya ya Misungwi
 Emmanuel Luponya SherembiWilaya ya Ukerewe
 Fidelica Gabriel MyovelaWilaya ya Magu
 Selemani Yahya SekieteJiji la Mwanza
 Binuru Mussa ShekideleWilaya ya Sengerema
  Paulo Sosteness MalagaWilaya ya Buchosa
 Happiness Joachim MsangaWilaya ya Kwimba

17.       MKOA WA NJOMBE:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Dollar Rajab KusengeMji wa Njombe
 Sunday Deogratius NdoriWilaya ya Ludewa
 William Mathew MakufweWilaya ya Makete
 Keneth Haule KenethMji wa Makambako
 Maryam Ahmed MuhajiWilaya ya Wanging’ombe
 Sharifa Yusuph Nabarang’anyaWilaya ya Njombe

18.       MKOA WA PWANI:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Mshamu Ally MundeMji wa Kibaha
 Kuruthum Amour SadikWilaya ya Chalinze
 Hanan Mohamed BafagihWilaya ya Kisarawe
 Mwantum Hamis MgonjaWilaya ya Mkuranga
 Butamo Nuru NdalahwaWilaya ya Kibaha
 Shauri SelendaWilaya ya Bagamoyo
 Mohamed Issa MavuraWilaya ya Kibiti
`Kassim Seif NdumboWilaya ya Mafia
 John Lipesi KayomboWilaya ya Rufiji

19.       MKOA WA RUKWA:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Jacob James MtalitinyaManispaa ya Sumbawanga
 William Anyitike MwakalambileWilaya ya Nkasi
 Shafii Kassim MpendaWilaya ya Kalambo
 Lightness Stanley MsemoWilaya ya Sumbawanga

20.       MKOA WA RUVUMA:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Fredrick Damas SagamikoManispaa ya Songea
 Neema Michael MaghembeWilaya ya Songea
 Sajidu Idrisa MohamedWilaya ya Madaba
 Chiriku Hamis ChilumbaWilaya ya Namtumbo
 Jimson MhagamaWilaya ya Nyasa
 Chiza Cyprian MarandoWilaya ya Tunduru
 Grace Stephen QuintineMji wa Mbinga
 Juma Haji JumaWilaya ya Mbinga

21.       MKOA WA SHINYANGA:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Nice Remen MunissyWilaya ya Shinyanga
 Anderson David MsumbaMji wa Kahama
 Charles Edward FussiWilaya ya Msalala
 Lino Pius MwageniWilaya ya Ushetu
 Emmanuel Johson MatinyiWilaya ya Kishapu
 Jomary Mkristo SaturaManispaa ya Shinyanga

22.       MKOA WA SIMIYU:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Simon Sales BeregeWilaya ya Maswa
 Adrian Jovin JunguMji wa Bariadi
 Elizabeth Mathias GumboWilaya ya Itilima
 Halid Muharami MbwanaWilaya ya Bariadi
 Veronica Vicent SayoreWilaya ya Busega
 Msoleni Juma DakawaWilaya ya Meatu

23.       MKOA WA SINGIDA:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Estehr Annania ChaulaWilaya ya Singida
 Michael Augustino MatomoraWilaya ya Iramba
 Justine Lawrence KijaziWilaya ya Ikungi
 Melkizedek Oscar HumbeWilaya ya Manyoni
 John Kulwa MgagulwaWilaya ya Itigi
 Zefrin Kimolo LubuvaManispaa ya Singida
 Asia Juma MossesWilaya ya Mkalama

24.       MKOA WA SONGWE:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Cecilia Donath KavisheWilaya ya Songwe
 Philimoni Mwita MagesaMji wa Tunduma
 Regina Lazaro BeidaWilaya ya Momba
 Abadallah Hamis NandondeWilaya ya Mbozi
 Geofrey Moses NnauyeWilaya ya Ileje

25.       MKOA WA TABORA:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Shomary Salim MndolwaMji wa Nzega
 Kiomoni Kiburwa KibambaWilaya ya Nzega
 Baraka Michael ZikatimuWilaya ya Urambo
 Dkt. Peter Maiga NyanjaManispaa ya Tabora
 Hemed Saidi MagaroWilaya ya Uyui
 Jerry Daimon MwagaWilaya ya Kaliua
 Selemani Mohamed PandaweWilaya ya Sikonge
 Fatuma Omary LatuWilaya ya Igunga

26.       MKOA WA TANGA:

NAJINA KAMILIHALMASHAURI 
 Gracia Max MakotaWilaya ya Kilindi
 Ikupa Harrison MwasyogeWilaya ya Lushoto
 George Daniel HauleWilaya ya Bumbuli
 Nasib Bakari MmbagaWilaya ya Muheza
 Isaya Mugishangwe MbenjeWilaya ya Pangani
 Zahara Abdul MsangiWilaya ya Mkinga
 Saitoti Zelote StephenWilaya ya Handeni
 Nicodemus John BeiMji wa Korogwe 
 Mariamu Ukwaju MasebuMji wa Handeni
 Spora Jonathan LianaJiji la Tanga
 Halfan Hashim MaganiWilaya ya Korogwe

Imetolewa na

Jaffar Haniu

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu