December 23, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais akutana na Mwenyekiti na Rais wa Big Win Philanthropy Dodoma [HABARI PICHA]

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyekiti na Rais wa Big Win Philanthropy Jamie Cooper mara baada ya Kikao chao kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Mwenyekiti na Rais wa Big Win Philanthropy Jamie Cooper aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe leo.