January 12, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

PSG waibuka fainali UEFA kibabe

Klabu ya Paris Saint German kwa mara ya kwanza imefanikiwa kufuzu fainali za Ligi ya Mabingwa ulaya kwa msimu wa 2019/20 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya RB Leipzig. 

PSG walikuwa wa kwanza kupata bao la kuongoza kupitia Marquinhos bao la pili likifungwa na Ángel Di María bao la tatu likifungwa na Juan Bernat. Matokeo haya ni mazuri kwa PSG na huku ikitegemewa kufanya maajabu kwenye mchezo wa fainali utakaopigwa dimba Ataturk Olympic Stadium jijini Istanbul nchini Uturuki.

PSG wanamsubiri mshindi wa leo kati ya Bayern Munich dhidi ya Olympiacos Lyon mchezo utakaochezwa usiku wa leo majira ya saa nne kamili