January 8, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Picha za Kampeni za Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Ubungo, Kitita Mkumbo (PICHA)

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Kitila Mkumbo, akiwa amelakiwa na vijana wanaofanya kazi kwenye gereji na bodaboda katika eneo la Manzese, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita wakati wa kampeni za kuwania nafasi hiyo. Picha na Mpiga Picha Wetu