*Barabara ya Kakonko hadi mpaka wa Burundi kujengwa kwa lami, Kakonko yazalisha ziada ya chakula tani 81,000, ahimiza wananchi kuendelea...
Na Jackline Martin RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa 11 wa Taasisi ya Merck Foundation...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga Septemba 17, 2024,ameshuhudia fainali ya mashindano ya kombe la Doto...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online, Makete Benki ya NMB imekabidhi vifaa tiba ikiwemo vitanda na mashuka katika Zahanati ya Kijiji...
Na Jackline Martin, TimesMajira Online Wanawake na Vijana nchini wametakiwa kuchangamkia fursa za zabuni zilizopo serikalini kwa kujisajili katika mfumo...
Na Mwandishi Wetu, TimesmajiraZanzibar NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Mohamed Said Dimwa, amempongeza Rais Samia...
Na Heri Shaaban, TimesMajira Online Mwananchi wa Maputo MBWENI wilayani Kinondoni, HAWA BEDUI , anamlilia Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Na mwandishi wetu, TimesMajira Online JUMUIYA ya Wazazi ya chama cha Mapinduzi Tawi la Jakaya Kikwete segerea wamefanya usafi katika...
Na Heri Shaaban, TimesMajira Online WATOTO 30 wenye matatizo ya moyo wamefanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo kwa ushirikiano wa madaktari...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online Mashindano ya KNK CUP 2024 yaliyoandaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye...