Na Stephen Noel- Mpwapwa MAHAKAMA ya Hakimu mkazi mfawidhi ya wilaya ya mpwapwa mkoni DODOMA imewahukumu kifungo chamiaka (30) gerezani...
Na Mwandishi wetu,timesmajira Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa amewaelekeza watendaji wa Wizara yake kuhakikisha kuwa askari wote wapya...
Judith Ferdinand,TimesMajira Online,Mwanza HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilemela imepokea kiasi cha zaidi ya bilioni 1.57,kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu...
Lubango Mleka, Timesmajira Online, Igunga. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Igunga mkoani Tabora imemkamata na...
Judith Ferdinand, TimesMajira Online,Mwanza Shirika la Plan International limewasaidia vifaa saidizi wanafunzi wenye mahitaji maalum kwa Halmasahauri ya Jiji la...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Sloti ya Blackjack Live Moja kati ya michezo pendwa na wengi ni Sloti ya BlackJack...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Kampuni ya ubashiri Meridianbet Tanzania kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Usalama wa Barabarani limeanzisha kampeni ya...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Sloti Ya Titan Dice Mawindo yako huenda ukafanikiwa kupata chakula pendwa kutoka kasino ya mtandaoni ya...
NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID, MOROGORO. Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) pamoja na kutoa elimu kwa...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma. WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Ajira na Wenye ulemavu,Prof.Joyce Ndalichako amesema serikali inatambua umuhimu...