Na Jackline Martin, TimesMajira Online TAASISI ya moyo ya jakaya kikwete (JKCI) imeendesha kambi maalumu ya siku tano ya uchunguzi...
Na Queen Lema, TimesMajira Online, Arusha Serikali imesema kuwa inatarajia kuanza kubadiisha mtaala wa elimu hapa nchini ili kuweza kuleta...
Na Heri Shaaban, TimesMajira Online, Bagamoyo Afisa Elimu Msingi na Elimu awali Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo ,Wema Kajigili amewataka...
Na Heri Shaaban, TimesMajira Online, Ilala Diwani wa Kata ya Goba, Esther Ladslaus Ndoha, amewataka wazazi kusimamia mmomonyoko wa maadili...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu ameeleza historia ya uamuzi wa kuhamisha makao makuu...
Na Lubango Mleka, Timesmajira online,Igunga. Kata 11 za maeneo ya Mbugani Jimbo la Igunga mkoani Tabora zinatarajia kujengewa minara ya...
Na Yusuph Mussa, TimesMajira Online, Arusha MAKAMU wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amezitaka taasisi za fedha hususan benki,...
Na Mwandishi wetu WATAALAMU wa masuala ya makumbusho na malikale wa Tanzania na Ujerumani wamekutana jijini Dar es Salaam kujadili...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Legal Services...
Na David John Timesmajira online KAIMU Mkurugenzi wa Idara ya ukuzaji biashara kutoka Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade...