Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt. Germana Leyna, amefungua mafunzo elekezi...
Na Raphael Okello, Timesmajira Online,Mwanza Kamisaa wa Sensa ya watu na makazi 2022 Taifa, Anne Makinda amewaasa waandishi wa habari...
Na Jackline Martin, TimesMajira Online Waandaaji wa tuzo za vijana Jumuhiya ya Africa Mashariki wameziomba Serikali zote Saba za Jumuhiya...
Na Yusuph Mussa, Timesmajira Online,Bumbuli MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga Mwantumu Zodo ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli...
Mkurugenzi Muu wa REA Mhandisi Hassan Saidy Na David John ,Geita SERIKALI kupitia Wakala wa Nishati vijijini (REA) umefanikiwa kufikisha ...
NA K-VIS BLOG, GEITA MFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umewata wadau na wananchi wanaotembelea Maonesho ya 6 ya Teknolojia...
Na Penina Malundo, timesmajira Taasisi nne zinazounda Jeshi la Uhifadhi chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii zimeagizwa kuhakikisha zinashiriki...
Na Mwandishi wetu, timesmajira Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amevitaka Vyombo Vya Habari kutangaza vivutio vya utalii ili...
Na David John ,Geita WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde ameishukuru na uipongeza Kampuni ya GF Trucks&Equipment inayojishughulisha na uuzaji wa...
Na David John ,Geita WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde amesema ,Serikali imedhamiria kufanya utafiti na kupata taarifa za uwepo madini...