Na Penina Malundo, timesmajira IMEELEZWA kuwa kuna umuhimu wa kutoa elimu ya uzazi wa mpango kwa vijana hasa wale wenye...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online WAAJIRI kote nchini wamehimizwa kutumia TEHAMA kuwasilisha taarifa kuhusu mfanyakazi aliyepata Ajali, Ugonjwa au Kifo...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online, Kilimanjaro FILAMU ya Royo Tour ambayo Rais Samia Suluhu Hassan, alishiriki kwa lengo la kutangaza...
Na David John Geita WAZIRI wa Madini Antony Mavunde amesema serikali itaendelea kusimamia sheria ya wawekezaji wazawa ili kuhakikisha watanzania...
Na Iddy Lugendo, Timesmajira Online Mamlaka ya Maji na Usafi na Mazingira mjini Geita yabainisha mikakati ya kumaliza na mipango...
Na Mwandishi wetu, timesmajira TIMU ya Soka ya Nyumbu ya Mkoani Pwani inayojiandaa na ligi daraja la Pili imetoka sare...
Na Jackline Martin, TimesMajira Online BOHARI ya Dawa (MSD) imeimarisha mfumo wa usambazaji bidhaa za afya mara sita kwa mwaka...
Na Iddy Lugendo, Timesmajira Online TUME ya Ushindani (FCC) imepongezwa kwa jitihada kubwa wanazoendelea kufanya kwa kutoa Elimu kwa wadau...
Na David John Geita KAMPUNI ya Ulinzi ya Nguvu Moja security services limited inayojishughulisha na masuala ya ulinzi imeelezea mafanikio...
Na David John Geita MKURUGENZI wa Uchunguzi wa Bidhaa na Mazingira kutoka Mamlaka ya Maabara na Mkemia Mkuu wa Serikali...