Na Mwandishi Wetu,TimesmajiraOnline,Dar WAIMBAJI maarufu nchini kutoka Gethsemane Group Kinondoni (GGK)SDA wameachia video ya wimbo wao mpya unaoitwa Bwana Wastahili....
Na Penina Malundo, timesmajira TANZANIA imezindua maandalizi ya kuandaa Kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika (ARGeo-C10) ambalo litafanyika kuanzia Novemba...
Na Mwandishi wetu, timesmajira JUMLA ya wanagenzi 362 wamenufaika na mafunzo ya Uanagenzi Pacha kwenye fani ya Ufundi wa Zana...
Na Mwandishi wetu MAMLAKA ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imefungua Ofisi katika kanda tano nchini na kuwa na...
Na Mwandishi Wetu,TimesmajiraOnline,Dar RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua, Christine Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha...
Na Mwandishi Wetu,TimesmajiraOnline,Dar SERIKALI kupitia Wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo, imesaini mkabata wa ujenzi wa Uwanja wa Dokta Samia...
*Yashika nafasi ya saba miongoni mwa nchi 18 zilizo bora duniani kwa utalii, Kairika, Dkt. Abbas wafunguka miaka mitatu ya...
Na Mwandishi Wetu,TimesmajiraOnline, Kahama SERIKALI ya Rais Samia Suluhu Hassan, imedhamiria kutekeleza kwa dhati Sera ya uongezaji thamani ya madini...
Na Esther Macha, TimesmajiraOnline,Mbeya MKUU wa wilaya ya Chunya ambaye ni Kaimu mkuu wa wilaya ya Mbeya,Mrakibu Mwandamizi wa jeshi...
Na Agnes Alcardo, Timesmajira Online. Dar JESHI la Polisi Mkoani Mbeya, linawashikilia wafanyabiashara wa madini 10 kwa tuhuma za utoroshaji...