Na Mwandishi Wetu,TimesmajiraOnline,Dar RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua, Christine Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha...
Na Mwandishi Wetu,TimesmajiraOnline,Dar SERIKALI kupitia Wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo, imesaini mkabata wa ujenzi wa Uwanja wa Dokta Samia...
*Yashika nafasi ya saba miongoni mwa nchi 18 zilizo bora duniani kwa utalii, Kairika, Dkt. Abbas wafunguka miaka mitatu ya...
Na Mwandishi Wetu,TimesmajiraOnline, Kahama SERIKALI ya Rais Samia Suluhu Hassan, imedhamiria kutekeleza kwa dhati Sera ya uongezaji thamani ya madini...
Na Esther Macha, TimesmajiraOnline,Mbeya MKUU wa wilaya ya Chunya ambaye ni Kaimu mkuu wa wilaya ya Mbeya,Mrakibu Mwandamizi wa jeshi...
Na Agnes Alcardo, Timesmajira Online. Dar JESHI la Polisi Mkoani Mbeya, linawashikilia wafanyabiashara wa madini 10 kwa tuhuma za utoroshaji...
Na Mwandishi Wetu,Timesmajira Online NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amemwakilisha Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online WAKALA wa Nishati Vijijini (REA), inajivunia mafanikio makubwa kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali chini ya...
Na Moses Ng’wat,Timesmajiraonline,Songwe. MKUU mpya wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, ameanza rasmi utekelezaji wa majukumu yake mapya kwa kumshukuru...
Na Mwandishi Wetu WAKATI wa Kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2005 sera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiungwa...