Na Penina Malundo, Timesmajira,Ngara UKAMILISHWAJI wa ujenzi wa Kituo cha Afya cha Rusumo na uwekwaji wa vifaa tiba pamoja na...
Na Joyce Kasiki,Timesmajira online,Kigoma JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limezindua boti yake ya MV Bulombola ikiwa ni mkakati kabambe wa...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) ambayo huadhimishwa kila mwaka...
Na Esther Macha, Timesmajira Online,Mbeya. HALMASHAURI ya Jiji la Mbeya imetenga zaidi ya bilioni 1.5 kwa ajili ya uboreshaji wa...
Na Mwandishi WetuTimemajiraonline, Arusha WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amefungua rasmi kongamano la...
Na Irene Clemence,Timesmajiraonline,Dar RAIS Samia Suluhu Hassan ameridhia ujenzi wa barabara ya Kibada- Mwasonga-Kimbiji ya kilomita 51 kujengwa kwa kiwango...
Na Joyce Kasiki, Dodoma MBUNGE wa Kwela, Deus Sangu (CCM) ameihoji serikali kwamba ni lini itatekeleza ahadi ya Viongozi wa...
Na Raphael Okello, Timesmajiraonline,Mwanza. WAPENZI soka mkoani Mwanza wamepongeza timu ya Pamba Fc kupanda ligi kuu bara msimu ujao wa...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online DSM Katibu Tawala wa Mkoa wa Mkoa Dar es Salaam Dkt. Toba Nguvila ameliagiza Baraza...
Na Mwandishi wetu, Morogoro Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), wamekutana kupitia kikao cha Baraza la Wafanyakazi...