Na Hadija Bagasha, Timesmajira Online,Tanga BENKI ya NMB imeshiriki kwenye maadhimisho ya elimu,ujuzi na ubunifu yanayoendelea kwenye viwanja vya Shule...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuimarisha ulinzi wa Mkoa huo ambao ndio...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa wawili Kwa tuhuma za mauaji ya Ndembora...
Na Hadija Bagasha, Timesmajira Online,Tanga Chuo Kikuu cha Dar -es-Salaam (UDSM) kimesema kimejidhatiti kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ya utunzaji wa...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewapandisha kizimbani wakazi 12 wa Ifakara, Morogoro akiwemo Barnaba Gidajuri...
Na Hadija Bagasha, Timesmajira Online,Tanga MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar (SUZA) Profesa Mohamed Makame Haji amesema chuo...
Na Moses Ng'wat,TimesmajiraOnline,Songwe. MBUNGE wa jimbo la Songwe mkoani Songwe, Philipo Mulugo,ameiomba serikali kujenga daraja katika Mto Kikamba ambao ana...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma TAASISI ya Teknolojia ya Ujenzi(ICoT)imetoa wito kwa vijana wa kike nchini kupata elimu ya ufundi ili waweze...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma SERIKALI imewatoa hofu Wananchi wa mkoa wa Dar es salaam wanaotumia usafiri wa vivuko eneo la Kigamboni...
Na Yusuph Mussa,Timesmajira Online,Lushoto Mkuu wa Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga Japhari Kubecha amewataka Madiwani kusimamia miradi na kuona thamani...