Serikali imesema kuwa  mradi mkubwa wa usafirishaji umeme unaohusisha ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 400  kutoka Iringa...
Judith Ferdinand, Timesmajira Online,Kwimba Wakazi 24,349 wa vijiji vya Hungumalwa,Buyogo,Ilula na Kibitilwa wilayani Kwimba mkoani Mwanza,kuondokana na changamoto ya maji...
Na Lubango Mleka, Times majira online - Igunga. CHAMA Cha Wafugaji Tanzania (CCWT) kimemchangia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kiasi...
Na Daud Magesa, Timesmajira Online,Magu Mbunge wa Jimbo la Magu mkoani Mwanza Boniventure Kiswaga amesema changamoto za maji na umeme...
Na Penina Malundo, Timesmajira CHAMA cha Mapinduzi CCM, kimeagiza kurudiwa kwa uchaguzi wa kumpata Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kibaha...
Na Mwandishi wetu, Timesmajira WAZIRI wa Madini,Anthony Mavunde ameweka wazi makusanyo ya maduhuli kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 ambayo ni...
Na Penina Malundo, Timesmajira CHAMA cha Mapinduzi CCM kimetoa maelezo kwa serikali kuhakikisha pembejeo za kilimo zinapatikana kwa bei nafuu...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online KAMPENI za Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), ambao unatarajiwa kufanyika siku ya...
Judith Ferdinand, Timesmajira Online, Mwanza Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Mathew,ametoa wiki mbili kwa Kaimu Meneja wa Mamlaka ya...
Judith Ferdinand, Timesmajira Online, Mwanza Licha ya ongezeko la wananchi Kata ya Buhongwa inayosababisha uhaba wa maji serikali imejipanga kuendelea...