Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania,wamefanya mafunzo maalumu ya kuwajenga waandishi...
Na Mwandishi wetu Kampuni ya Champion Rise inatarajia kutoa tuzo za mchezo wa kuogelea hapa nchini ambazo zinatarajia kufanyika Dicember...
Na Hadija Bagasha Tanga, Serikali imeelekeza watendaji wa wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) kutafuta namna ya kuongeza muda wa matazamio...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Maonesho ya Biashara Arusha yanayojulikana kama Arusha Trade Fair ni maonesho makubwa ya kibiashara ya...
Judith Ferdinand, Mwanza Katika kuhakikisha taifa linakuwa na wataalamu wenye ujuzi zaidi katika ujengaji wa meli,Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi,...
Judith Ferdinand, Mwanza Wataalamu wa sekta ya ujenzi na uchukuzi,wametakiwa kutumia utaalamu wao kuishauri serikali ili iweze kupata ufanisi katika...
Na Omary Mtamike,TimesMajira Online, Mbeya TAASISI ya Utafiti wa Mifugo nchini (TALIRI) kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Utafiti...
Na Heri Shaaban Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila, ameagiza wazawa wa Malampaka wapewe kipaumbele kwenye ajira ya Ujenzi...
Na Bakari Lulela, TimesMajira Online Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge,Uratibu,Kazi, Vijana,Ajira naWenye Ulemavu) Jenista Mhagama ametoa wito...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa kiasi Cha Shilingi bilioni...
