📌 Yapongeza kasi ya Serikali ujenzi wa vituo vya CNG Na Mwandishi wetu,Timesmajira Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati...
Na Mwamdishi Wetu, Timesmajira Online KAMPUNI ya Mawasiliano Tanzania, Yas jana imekabidhi hundi ya shilingi milioni tano (5) kwa Petro...
Judith Ferdinand, Timesmajira Online-Mwanza Waumini wa Kikristu wamehimizwa kuzingatia mambo ishirini kipindi hiki cha Kwaresma ili kugeuza mienendo mibaya, kuwa...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online-Tabora KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi...
Judith Ferdinand, Timesmajira Online-Mwanza Wafanyabiashara wa soko kuu jijini Mwanza,wamewatoa hofu wananchi wa mkoa huo juu ya kupanda kwa bei...
Na Zena Mohamed,TimesmajiraOnline,Bahi. DIWANI wa kata ya chali Wilaya ya Bahi, Pius Mwaluko amewaagiza Kamati ya Mazingira Chikopelo na Makulu...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira UPATIKANAJI wa nishati safi ya kupikia nchini Tanzania umeongezeka kutoka asilimia 6.9 mwaka 2021 hadi asilimia 23.2...
Zaidi ya wawekezaji na wafanyabiashara 100 wamehudhuria Semina ya Uwekezaji iliyofanyika leo tarehe 17/2/2026 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma TAASISI ya Kiislam ya Al-Mallid Dodoma imelalamikia watumishi wa Wizara ya Ardhi, akiwemo Kamishna na Naibu Kamishna...
📌 Yasema mradi huo ni ushahidi wa thamani ya kodi za wananchi katika kuchochea maendeleo ya nchi 📌Yahimiza ulipaji wa...
