Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online,Rungwe BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya limeazimia kuwafukuza kazi watumishi...
📌Yasema jumla ya megawati 4,400 za umeme zinazalishwa kupitia vyanzo mbalimbali 📌Yaipongeza TANESCO kwa kutekeleza Miradi na kuhakikisha Shirika linajiendesha...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mwanamitindo maarufu wa kimataifa, Miriam Odemba, ameungana na watoto wa Shule ya Msingi ya...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online WATUHUMIWA saba wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Same Februari 19, 2026, wakikabiliwa na mashtaka...
Na Agnes Alcardo, Timesmajira Online. Dodoma CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kupokea masikitiko taarifa ya kifo cha Baba Mwadhama Polycarp...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Wizara ya afya kupitia maabara ya taifa ngazi ya jamii imefanya mapitio ya mradi wa kazi za...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea kwa masikitiko taarifa za...
Na Israel Mwaisaka, Timesmajira Online-Nkasi MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi,wamehimizwa kuzifahamu sheria za ardhi kwani wawekezaji wengi wanakwenda...
Judith Ferdinand, Timesmajira Online-Mwanza Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Vijana, imekabidhi mkopo wa vifaa vyenye thamani ya sh.milioni 200...
Na Mwandishi wetu, Timesmajira Online, Mbarali HALMASHAURI ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya imesema inazitambua na kuviimarisha vituo shikizi 23...
