Na Mwandishi Wetu,Timesmajiraonline,Ruvuma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema sasa ni wakati wa Bara la...
Na Mwandishi wetu Timesmajira online KATIKA kuadhimisha siku ya Moyo Dunia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inatarajia kufanya...
Na Mwandishi wetu, Moshi KUWEPO kwa mashindano ya gofu ya Lina PG Tour katika viwanja vya gofu vya klabu ya...
Na Esther Macha,Timesmajira Online,Mbeya MKUU wa Wilaya ya Mbarali Kanali Maulid Surumbu amesema serikali inatambua changamoto za wazee ikiwepo jamii...
Na Jackline Martin, TimesMajira OnlineKatika kuunga mkono juhudi za serikali, Benki ya Equity Tanzania imesaini mkataba wa makubaliano na kampuni...
Na Moses Ng'wat, Songwe. SERIKALI imetoa kiasi cha shilingi Bilioni 10.84 kwa ajili ya mradi wa kusambaza umeme kwenye vitongoji...
Je, umewahi kusikia watu wakisema mtu fulani ana bahati maishani?, ukweli ni kwamba kuna watu wana bahati sana katika maisha...
📌 Atahadharisha kemikali zilizopo kwenye baadhi ya miti 📌 Vyuo vya Maendeleo ya Jamii vyaanza kupika kisasa kwa kutumia Nishati...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Access Bank PLC imekamilisha mchakato na kukidhi vigezo vyotevya kisheria na vya kikanuni kuhusiana naununuzi wa African Banking CorporationTanzania Limited (BancABC Tanzania). Sasa taasisi hii inaitwa Access Bank Tanzania Limited, jambo ambalo linapanua zaidi uwepowa Access Bank katika ukanda wa Afrika Mashariki. Hatua hii itakuwa ni mwendelezo uliofuatana naununuzi wa wateja binafsi, na wafanyabiasharawa kati wa Standard Chartered...
Na Esther Macha, Timesmajira Online, Mbeya KUELEKEA Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, mwaka huu, Mkuu wa Mkoa wa...