December 28, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

NIC yashiriki mbio za Korosho Marathon

Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online

NIC Insurance imedhamini na kushiriki Mbio za Korosho Marathon ili kuchangia kufanikisha upatikanaji wa fedha ambazo zitaenda kununulia mashine za kubangulia korosho kwa wabanguaji wadogo ikiwa ni sehemu ya sera ya NIC kurudisha katika jamii ambapo katika mbio hizo.

Mgeni Rasmi alikua Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack.