May 30, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

NEC yachagua wajumbe wa kamati kuu,yumo Asas

Na Agnes Alcardo, Timesmajira Online

HALMASHAURI kuu ya CCM Taifa ( NEC) imefanya uchaguzi wa wajumbe wanne ambao ni Namelock Edward, Dkt. Juma Abdallah, Salim Faraj Abri ( Asas) na Hamad Chande.

Uchaguzi huo umefanyika leo Mei 28, 2025 kwenye kikao maalumu cha NEC kilichofanyika Jijini Dodoma.