December 24, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Naibu Waziri Ridhiwani ateta na Maafisa Ardhi

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Ridhiwani Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Maafisa Ardhi na kuwakumbusha kutimiza wajibu katika utendaji kazi

“Baada ya ufungaji wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makazi yaliyofanyika Chuo Cha Mkwawa, Iringa nilipata nafasi kuzungumza na Maafisa Ardhi wa Mkoa wa Iringa na Manispaa ya Iringa. Lengo ni kujadili hali ya Kazi na kukumbushana Wajibu wa kila mmoja katika Utendaji.” Amesema Mhe. Ridhiwani