Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu),Ummy Nderiananga, amewasilisha salamu za pole kwa niaba ya Serikali kwa familia ya William Lukuvi kufuatia msiba wa mdogo wake, Mtwa Xavier Lukuvi.
Ibada ya mazishi imefanyika tarehe 7 Juni 2025 katika Kijiji cha Mapogoro, Iringa Vijijini na kuhudhuriwa na viongozi wa chama, wananchi wa Jimbo la Isimani pamoja na ndugu wa marehemu.









More Stories
Samia aitunuku NMB kwa gawio kubwa Serikalini
Serikali yambana mkandarasi kituo cha umeme Hale
Polisi wachunguza jeneza lililotelekezwa soko la Kabila