January 8, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Naibu Waziri Katambi atembelea banda la TET

NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Patrobas Katambi ametembea banda la Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Angella Msangi akimuelezea Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Patrobas Katambi kazi mbalimbali za Taasisi ya Elimu Tanzania kwenye Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 06, 2023
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Patrobas Katambi akifurahia jambo wakati akikabidhiwa zawadi na Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Elimu Tanzania Angella Msangi alipotembelea banda la Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwenye Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 06, 2023
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Patrobas Katambi akisaini wakati akitembelea banda la Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwenye Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 06, 2023 akiwa pamoja na Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Elimu Tanzania Angella Msangi.