January 7, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Naibu Waziri Chande asikiliza changamoto za waliokuwa watumishi ofisi yake Z’bar

Sehemu ya waliokuwa watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakiwasilisha hoja zao kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Hamad Chande leo 7/07/2021, kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Tunguu, Zanzibar na kuhudhuriwa na Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi Bw. Sheusi Mburi na Mbunge wa Jimbo la Magomeni Bi Mwanahamis Kassim
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Hamad Chande (kulia) leo 7/07/2021 amekutana na waliokuwa watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais katika kikao kazi cha kusikiliza na kutatua changamoto zinazowakabili. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Tunguu, Zanzibar na kuhudhuriwa na Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu Bw. Sheusi Mburi na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Muungano (Ofisi ya Zanzibar) Bi. Shumbani Ramadhani Tawfiq