December 24, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Naibu Waziri awajulia hali majeruhi ajali ya Arusha, ashuhudia uharibifu mkubwa katika ajali hiyo (PICHA)

PICHA ZOTE NA MPIGAPICHA WETU

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Jumanne Sagini, leo Februari 25, 2024 amewatembelea na kuwajulia hali majeruhi wa ajali katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Arusha Mount Meru Arusha ambapo iliyohusisha Lori na magari mengine matatu na kupelekea vifo 25 na majeruhi 21.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Jumanne Sagini, leo Februari 25, 2024 amefika eneo la ajali iliyohusisha lori na magari mengine matatu katika eneo la by PASS Ngaramtoni Jijini Arusha nakupelekea vifo ishirini na tano 25.