May 12, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mwili wa Hayati Msuya wawasili Uwanja wa Ndege wa (KIA)

Na Agnes Alcardo, Timesmajira Online.

NDEGE iliyobeba mwili wa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais (Mstaafu), Hayati Cleopa Msuya, ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) majira muda huu.

Hayati Msuya aleiyefariki Mei 7, 2025 katika Hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam, ataagwa leo na wananchi wa Mwanga, ambapo baada ya kumalizika kwa shughuli za kuagwa, mwili utapelekea nyumbani kwake Usangi kwa ajili ya mazishi kesho Mei 13, 2025.