Na Mwandishi wetu ,Timesmajira
Mwanazuoni na Wakili Dk Aloys Rugazia ameibuka kwa kishindo baada ya kuchukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Mbagala, Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).Dk Rugazia ametimiza haki yake hiyo, baada ya taarifa ilitolewa na Katibu Mkuu wa CCM Dk Emmanuel Nchimbi ya uchukuaji fomu rasmi wa chama hicho iliyotolewa Aprili 16,2025.
Kutokana na hatua ya Dkt Rugazia kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho ni rasmi kwamba analitaka jimbo hilo na kwamba kwa sasa anahitaji nguvu ya ziadi ya kuwashawishi wajumbe.


More Stories
Mfanyabiashara,vibarua mbaroni wakituhumiwa kuchimba mahandakiÂ
Silinde azindua baraza la sita la Wafanyakazi Tume ya Taifa ya Umwagiliaji
NMB ilivyosaidia Serikali kukusanya zaidi ya Sh trilioni 9.8