Na Mwandishi wetu,Timesmajira
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari ameshiriki katika kikao cha wadau wa Mahakama kilichofanyika tarehe 22 Januari, 2026 Jijini Dodoma.
Kikao hicho kilichoongozwa na Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania George Masaju kililenga katika kujadiliana juu ya uboreshaji wa utoaji wa huduma za Mahakama na Sekta ya Sheria kwa ujumla



More Stories
Dkt.Tulia,Mwalunenge waungana kutatua changamoto ya barabara
TUCASA yaomba kuanzishwa sheria malipo sekta ya ujenzi
Kihongosi:Uhai wa chama mashina