Na Bakari Lulela, TimesMajira Online
WAKATI akitambulisha baadhi watu ambao wamefika katika shughuli ya kuwakumbuka na kuwasomea dua, ambao wametangulia mbele ya haki, Katibu wa Kamati ya Maandalizi WA shughuli hiyo, Ivone Shell amemwaga chozi baada ya kutaka watoto wa Maunda Zorro.
Shughuli ya kuwaombea dua wasanii zaidi ya 250 ambao wametangulia mbele ya kwa miaka tofauti imefanyika Leo jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Leader.
“Nawaona watoto wa rafiki, ndugu yangu, Maunda Zorro ….. Choziii…. , Mungu awabariki sana na jambo hilo litaendelea na huu ni mwanzo, hadi Sasa idadi ya wasanii wenzetu ambao wametangulia mbele ya haki ni zaidi ya 250 na tutaendelea kuondoka na hatujui nani baada ya hapa ataanza, amesema.
More Stories
Serikali kupeleka mawasiliano maeneo ya mipakaniÂ
Sekondari ya Butata mbioni kufunguliwa Musoma Vijijini
TIC yapongeza mradi wa Kampuni ya Big Best