Katibu Tawala Msaidizi Uchumi, Ellias Luvanda (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika Iringa (IFCU), Victor Mwipopo (kushoto) tuzo ya kutambua utendaji mzuri katika uagizaji wa Mbolea kwa pamoja iliyotolewa na Mamlaka ya Mbolea TFRA , (kulia) Mrajis wa Vyama vya Ushirika Dkt. Benson Ndiege akishuhudia pamoja na wanaushirika wengine wakati wa Mkutano Mkuu wa 20 wa mwaka wa wanachama mkoani Iringa. Mkutano huo ulifanyika Ijumaa Mei 7, 2021 mkoani Iringa.Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama Kikuu cha Ushirika IFCU, wakifuatilia taarifa wakati mkutano huo ukiendeleaMrajis wa Vyama vya Ushirika, Benson Ndiege akieleza jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama hicho mkoani Iringa
More Stories
Mpogolo amahukuru Dkt Samia
PPRA yatakiwa kuwa mfano kusimamia uadilifu Serikalini
Kamati ya Kudumu ya Bunge yaridhishwa ujenzi soko la Kariakoo