December 22, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

NEC yazungumzia madai vituo hewa vya wapiga kura

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt.Wilson Mahera Charles (kulia)akionesha kwa waandishi wa habari jarida la maandalizi ya uchaguzi mkuu 2020 katika ofisi za Tume, Njedengwa jijini Dodoma leo Oktoba 25,2020, wakati akifafanua kuhusu madai ya uwepo wa vituo na wapiga kura hewa katika maeneo mbalimbali nchini ambayo yamekua yakitolewa na vyama vya siasa na wagombea wao. Pamoja nae ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpigakura, Dkt.Cosmas Mwaisobwa. Picha na Mroki Mroki-NEC
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa yua Uchaguzi, Dkt.Wilson Mahera Charles (kulia)akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Tume, Njedengwa jijini Dodoma leo Oktoba 25,2020, kuhusiana na madai ya uwepo wa vituo na wapiga kura hewa katika maeneo mbalimbali nchini ambayo yamekua yakitolewa na vyama vya siasa na wagombea wao