December 26, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mkurugenzi TCAA akutuna na watoto wanaanga China

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Mkurugenzi Mkuu TCAA Bw. Hamza Johari akiwa na watoto wanaoandaliwa kuwa wanaanga wa baadae alipotembelea Makumbusho ya Anga mjini Beijing anakohudhuria Kongamano la Ushirikiano wa Afrika na China katika mambo ya Anga mjini Beijing.