December 24, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mjumbe kamati tendaji CUF ajiunga ACT Wazelendo

Na Mwandishi wetu, timesmajira

Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Tendaji Chama cha Wananchi CUF ,Jimbo la Bagamoyo,Aisha Segumba amejiunga rasmi na Chama cha ACT Wazalendo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Ikwiriri, Rufiji leo.