
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Magufuli alivyowasili kuchukua fomu za kugombea Urais katika makao Makuu ya NEC-Dodoma.

Rais Dk. John Magufuli leo Alhamisi Agosti 06, alivyochukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muhula wa pili kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), yaliyopo Njedengwa jijini Dodoma.
More Stories
Prof.Muhongo aipatia mifuko 50 ya saruji kamati ya ujenzi Sekondari ya Mmahare
Mgao wa tenda wa 30% kwa makundi Maalum ,wamkosha Rais Samia
Umoja wanawake Chuo cha Magereza Kiwira watoa msaada kwa wazee