December 24, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Sehemu ya wananchi wa Mkoa wa Kagera waliokusanyika katika Viwanja vya Gymkhana kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 16 Septemba, 2020

Mgombea urais CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi Mkoa wa Kagera

Sehemu ya wananchi wa Mkoa wa Kagera waliokusanyika katika Viwanja vya Gymkhana kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 16 Septemba, 2020
Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kwa wananchi wa mkoa wa Kagera mara baada ya kuwasili katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya Gymkhana Bukoba mkoani Kagera leo.
Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya Wananchi wa mkoa wa Kagera katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya Gymkhana Bukoba mkoani Kagera leo.
Mgombea urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi ()CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia wananchi wa Mkoa wa Kagera mara baada ya kuwasili katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya Gymkhana Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 16 Septemba, 2020